Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Uwekezaji, Angellah Kairuki, akipata maelezo kutoka kwa Ofisa Masoko na Uhusiano Mkuu wa UTT AMIS, Martha Mashiku, kuhusu mifuko ya uwekezaji wa pamoja wakati alipotembelea banda la UTT AMIS kwenye maonesho ya Nanenane yanayofanyika kitaifa katika viwanja vya Nyakabindi nje kidogo ya mji wa Bariadi mkoani Simiyu leo Agosti 3, 2020.
Ofisa Masoko na Uhusiano Mkuu wa UTT AMIS, Martha Mashiku, akitoa maelezo kwa Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Uwekezaji, Angellah Kairuki.
Baadhi ya wananchi waliofika katika banda la UTT AMIS wakipata maelezo kuhusu mifuko ya uwekezaji wa pamoja wakati alipotembelea banda la UTT AMIS kwenye maonesho ya Nanenane yanayofanyika kitaifa katika viwanja vya Nyakabindi nje kidogo ya mji wa Bariadi mkoani Simiyu leo Agosti 3, 2020.
Ofisa Masoko na Uhusiano Mkuu wa UTT AMIS, Martha Mashiku, akizungumza na waandishi wa habari juu ya mifuko ya uwekezaji wa pamoja wakati alipotembelea banda la UTT AMIS. kwenye maonesho ya Nanenane yanayofanyika kitaifa katika viwanja vya Nyakabindi nje kidogo ya mji wa Bariadi mkoani Simiyu leo Agosti 3, 2020. 
Wananchi waliofika katika banda la UTT AMIS wakipata vipeperushi vyenye taarifa za kuhusu mifuko ya uwekezaji wa pamoja. 
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Uwekezaji, Angellah Kairuki, akiwa katika picha ya pamoja viongozi pamoja na washiriki wa maonesho ya Nanenane yanayofanyika kitaifa katika viwanja vya Nyakabindi nje kidogo ya mji wa Bariadi mkoani Simiyu leo Agosti 3, 2020.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...