Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Lindi, Stanley Kulyamo akionyesha kisu na
nondo mbili zilizoviringishwa bendera za ACT WAZALENDO ambazo
walikamatwa nazo vijana watatu kwenye Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa
Wilaya ya Ruangwa, Agosti 24, 2020. Alikuwa akizungumza na Waandishi
wa habari kwenye Ofisi ya Kamanda wa Polisi wa Wilaya ya Ruangwa, Agosti
24, 2020.
Kamanda
wa Polisi wa Mkoa wa Lindi, Stanley Kulyamo akionyeshwa nondo mbnili
zilizoviringishwa bendera za ACT WAZALENDO ambazo walikamatwa nazo
vijana watatu kwenye Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya Ruangwa,
Agosti 24, 2020. Alikwa akizungumza na Waandishi wa habari kwenye ofisi
ya Kamanda wa Polisi wa Wilaya ya Ruangwa.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...