Mkurugenzi wa Huduma za Biashara Wakala wa Vipim (WMA), Deogratias Maneno (kulia) akimkabidhi msaada wa kompyuta kwa Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Jangwani Nyaibuli Bokhe Nyahonde (kushoto). Wakala wa Vipimo (WMA) wametoa jumla ya kompyuta 16 zenye thamani ya milioni 36. Picha na Cathbert Kajuna wa Michuzi TV/Kajunason.
Mwalimu wa taaluma wa Shule ya Sekondari ya Jangwani, Hussein Juma akizungumza mara baada ya kupewa msaada wa kompyuta.
Mwanafunzi Najma Nizar akizungumza mara baada ya kupewa msaada wa kompyuta ambapo amewashukuru WMA kwa kuweza kuwapatia msaada huo utakaweza kuwangezea kiwango wa uelewa katika masm ya Tehama.
Mwanafunzi Leocadia Abeid akizungumza mara baada ya kupewa msaada wa kompyuta na WMA.
Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Jangwani Nyaibuli Bokhe Nyahonde akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kukabidhiwa msaada wa kompyuta na WMA. 
Meneja Mawasiliano na Uhusiano kwa Umma Wakala wa Vipimo (WMA) Irene John  ( wa kwanza toka kushoto) akizungumza wakati akitoa ufafanuzi juu ya kazi mbali mbali zinazofanywa na ofisi yake ya wakala wa vipimo. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...