Mjumbe wa Mkutano Mkuu CCM Taifa wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani,Mashaka Manda akimnadi mgombea Udiwani wa Kata ya Tambani,Dickson Mwaijibe alipozindua Kampeni za CCM leo Septemba 5, 2020.(Picha na Emmanuel Massaka,Michuzi Tv)

Mke wa Mgombea Ubunge Jimbo la Mkuranga koa wa Pwani ,Mariam Ulega akizungumza na wananchi wa kata ya Tambani wakati wa uzinduzi wa Kampeni za CCM leo Septemba 5, 2020.ambambo Mariam Ulega  amewaomba wanachi wote ifikapo Oktoba 28,2020  kura zote kwa Magufuli,Ulega na madiwani wa chama cha mapinduzi.(Picha na Emmanuel Massaka,Michuzi Tv)


wananchi wakiwa katika uzinduzi huoo
wananchi wakiwa katika uzinduzi huoo
Mwanacha mpya wa CCM akila kiapo baada ya kujiunga na chama hicho na kukabidhiwa kazi ya uwanacham.
Mke wa Mgombea Ubunge Jimbo la Mkuranga koa wa Pwani, Mariam Ulega aliesimama akijitambulisha.
Wananchi aliekuwa chama cha upinzani akipokea kadi ya CCM baada ya kujiunga na chama hicho.
Mjumbe wa Mkutano Mkuu CCM Taifa wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani, Mashaka Manda kimkabidhi Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2020-2025, mgombea Udiwani wa Kata ya Tambani,Dickson Mwaijibe alipozindua Kampeni za CCM leo Septemba 5, 2020.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...