Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mtwa wa Wahehe Chifu Adam Mkwawa baada ya kuhutubia maelfu kwa maelfu ya wananchi katika mkutano wake wa kampeni katika Uwanja wa Samora Machel mjini Iringa leo
Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili kuhutubia maelfu kwa maelfu ya wananchi katika mkutano wake wa kampeni katika Uwanja wa Samora Machel mjini Iringa
Mtwa wa Wahehe Chifu Adam Mkwawa akimkaribisha na kumuombea kura pamoja na ushindi wa kishindo Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli mbele ya maelfu kwa maelfu ya wananchi katika mkutano wa kampeni katika Uwanja wa Samora Machel mjini Iringa
Sehemu ya nyomi iliyojitokeza kumsikilkiza Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika mkutano wake wa kampeni katika Uwanja wa Samora Machel mjini Iringa
Wagombea ubunge wa majimbo ya mkoa wa Iringa wakimshangilia Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati akihutubia katika mkutano wa kampeni katika Uwanja wa Samora Machel mjini Iringa
Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuombea kura mgombea ubunge wa jimbo la Iringa mjini Ndugu Jesca Msambatavangu mbele ya maelfu kwa maelfu ya wananchi katika mkutano wake wa kampeni katika Uwanja wa Samora Machel mjini Iringa leo Jumatatu Septemba 28, 2020
PICHA NA IKULU
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...