Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM
Taifa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza mgombea ubunge wa
CCM wa Jimbo la Tanga Mjini ambaye pia ni Waziri wa Afya, Maendeleo ya
Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu wakati ambaye aliwaomba
wananchi wa Tanga wampigie kura Mgombea Urais wa CCM, Rais Dkt. John
Pombe Magufuli, Wabunge na Madiwani wa CCM katika mkutano wa kampeni
kwenye uwanja wa Tangamano jijini Tanga

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa
na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimnadi Mgombea Ubunge wa CCM katika
Jimbo la Tanga Mjini ambaye pia ni Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii,
Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu katika mkutano wa kampeni
uliofanyika kwenye uwanja wa Tangamano jijini Tanga.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Mjumbe wa Kamati Kuu ya
CCM Taifa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa kampeni
kwenye uwanja wa Tangamano jijini Tanga
Wananchi wa Jiji la Tanga
wakimsikiliza Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa, Waziri Mkuu, Kassim
Majaliwa wakati alipohutubia mkutano wa kampeni kwenye uwanja wa
Tangamano jijini humo

Wasanii Mrisho Mpoto (kushoto) na
Banana Zoro wakiimba katika mkutano wa kampeni za CCM uliohutubiwa na
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye
uwanja wa Tangamano jijini Tanga.



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...