MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha
Mapinduzi na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimtambulisha Mgombea Urais wa Zanzibar kwa
tiketi ya CCM Mhe. Dk. Hussein Ali Hassan Mwinyi, katika ufunguzi wa
Kampeni uliofanyika katika Uwanja wa Demokrasia Kibanda Maiti Jijini
Zanzibar.
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha
Mapinduzi Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akimkabidhi Ilani ya Uchaguzi ya CCM
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM Mhe. Dk. Hussein Ali Hassan
Mwinyi, wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Kampeni za CCM zilizofanyika
katika Uwanja wa Demokrasia Kibanda Maiti Jijini Zanzibar.

MGOMBEA Urais wa Zanzibar kwa
tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Hassan Mwinyi
akionesha Ilani ya Uchaguzi ya CCM, baada ya kukabidhiwa na Makamu
Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani)
katika hafla ya ufunguzi wa Kampen I ya CCM zilizofanyika katika Uwanja
wa Demokrasia Kibanda Maiti Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
MGOMBEA Urais wa Zanzibar kupitia
Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Hassan Mwinyi
akiwapungia mkono Wanachama wa CCM alipowasili katika viwanja vya
Kibanda Maiti (Uwanja wa Demokrasia Kibanda Maiti ) wakati wa hafla ya
Uzinduzi wa Kampeni za CCM leo mchana
MGOMBEA Urais wa Zanzibar kwa
Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Hassan Mwinyi
akimsalimia Mama Fatma Karume alipowasili katika Uwanja wa Demokrasia
Kibanda Maiti Jijini Zanzibar, wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Kampeni za
CCM
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha
Mapinduzi Zanzibar pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Rais Mstaaf wa
Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi, alipowasili katika Uwanja wa Demokrasia
Kibanda Maiti Jijini Zanzibar kuhudhuria Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni
za CCM Zanzibar
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha
Mapinduzi Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa Uzinduzi wa
Kampeni za Chama Cha Mapinduzi Zanzibar zilizofanyika katika Uwanja wa
Kibanda Maiti Jijini Zanzibar , kabla ya kumtambulisha Mgombea Urais wa
Zanzibar kwa tiketi ya CCM
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha
Mapinduzi Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimtambulisha Mgombea Ubunge wa
Jimbio la Chumbuni Zanzibar Mhe. Ussi Salum Pondeza, wakati wa Uzinduzi
wa Kampeni za CCM Zanzibar, uliofanyika katika Uwanja wa Demokrasia
Kibanda Maiti Jijini Zanzibar
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha
Mapinduzi Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimtambulisha Mgombea Ubunge wa
Jimbio la Jangombe Zanzibar Mhe.Ali Hassan Omar ( King) wakati wa
Uzinduzi wa Kampeni za CCM Zanzibar, uliofanyika katika Uwanja wa
Demokrasia Kibanda Maiti Jijini Zanzibar.



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...