Mjumbe wa Kamati Kuu, Kassim Majaliwa, akiwakabidhi nakala ya Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2020-2025 Mgombea Ubunge wa Jimbo la Ngara, Ndaisaba George Ruhoro, katika mkutano wa kampeni, uliyofanyika katika viwanja vya Rulenge Stendi, wilayani Ngara. Septemba 30, 2020. Katikati ni Diwani wa Kata ya Rulenge, John Fabian.

 

Mjumbe wa Kamati Kuu, Kassim Majaliwa, akiwahutubia wananchi wa Kata ya Nyaishozi, wilayani Karagwe, katika mkutano wa kampeni, uliyofanyika katika kitongoji cha Nyange,

Mwananchi wa Kata ya Nyaishozi, wilayani Karagwe, akifurahia hotuba ya Mjumbe wa Kamati Kuu, Kassim Majaliwa, wakati akiwahutubia, katika mkutano wa kampeni, uliyofanyika katika kitongoji cha Nyange, Septemba 30, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

Mjumbe wa Kamati Kuu, Kassim Majaliwa, akiwahutubia wananchi wa Kata ya Nyaishozi, wilayani Karagwe, katika mkutano wa kampeni, uliyofanyika katika kitongoji cha Nyange,

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...