Waziri
Mkuu na Mjumbe wa Kamati ya CCM Taifa, Kassim Majaliwa akimkabidhi
nakala ya Ilani ya Uchaguzi, Mgombea Ubunge wa CCM wa Jimbo la Babati
Mjini, Pauline Gekul, baada ya kuzindua Kampeni za CCM Mkoa wa Manyara
kwenye uwanja wa Kwaraa mjini Babati, Septemba 1, 2020. (Picha na Ofisi
ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa, Kassim Majaliwa akiwapungia
wananchi wakati alipowasili kwenye uwanja wa Kwaraa mjini Babati
kuzindua Kampeni za CCM Mkoa wa Manyara, Septemba 1, 2020. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa, Kassim Majaliwa akizungumza
wakati alipozindua Kampeni za CCM Mkoa wa Manyara kwenye uwanja wa
Kwaraa mjini Babati, Septemba 1, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...