Wanafunzi waliohitimu kidato cha sita wakipata udahili katika Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) katika Maonesho ya Vyuo Vikuu yanayofanyika jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Kitengo cha Biashara na Elimu kwa wa Umma TIA Lilian Mpanju akizungumza na mwanafunzi wakati alipotembelea banda la Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) katika vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wanafunzi wakipata maelezo katika Banda la TIA katika maonesho vyuo vikuu yanayoyofanyika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Wanafunzi wakipata huduma katika Banda la Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) katika maonesho ya Vyuo Vikuu katika Viwanja vya Mnazi Mmoja.
Wanafunzi wakipata huduma ya udahili katika chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) katika maonesho ya vyuo Vikuu jijini Dar es Salaam.







Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...