Makamu Wa Rais na Mgombea mwenza wa kiti cha Urais kupitia CCM, Mama Samia Suluhu Hassan kesho Jumanne Septemba 08, atazungumza na Wananchi wa Wilaya ya Kigamboni katika Viwanja vya Mjimwema kuanzia saa nane mchana.

Huu ni mwendelezo wa kampeni zinazoendelea nchini kote katika kuelekea uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani utakaofanyika  Oktoba 28, 2020.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...