
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Makambako mkoani Njombe katika Mkutano wa Kampeni wa CCM leo tarehe 29 Septemba 2020 Makambako mjini

Sehemu ya Wananchi wa Makambako waliohudhuria mkutano wa Kampeni wa Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 29 Septemba 2020 Makambako mjini

Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili Makambako mjini kwa ajili ya kuwahutubia wananchi wa Makambako leo tarehe 29 Septemba 2020.

Chopa ya CCM ikikatisha katika mji wa Makambako mkoani Njombe kwa ajili ya Kampeni za Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 29 Septemba 2020



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...