Mgombea Urais wa Chama Cha
Mapinduzi (CCM) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.
John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Nyamikoma Busega mkoani
Simiyu katika mikutano yake ya Kampeni za Urais wakati akielekea Mkoani
Mwanza.

Mgombea Urais wa Chama Cha
Mapinduzi (CCM) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.
John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Nyashimo Busega mkoani
Simiyu katika mikutano yake ya Kampeni za Urais wakati akielekea Mkoani
Mwanza.

Sehemu ya Wananchi wa Nyashimo
Busega wakifatilia mkutano wa Kampeni ya Mgombea Urais wa Chama Cha
Mapinduzi (CCM) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.
John Pombe Magufuli aliposimama wakati akielekea Mwanza.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...