Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpa zawadi ya kofia msanii Ali Kiba baada ya kutumbuiza katika Mkutano wa Kampeni mjini Bukoba mkoani Kagera leo Jumatano Septemba 16, 2020. Rais Dkt. Magufuli ameitaja Sanaa kama moja ya sekta muhimu sana za uchumi nchini na kuahidi kuisimamia kikamilifu katika kipindi chake cha pili cha Serikali ya awamu ya Tano endapo akichaguliwa tena kuongoza Tanzania kwa miaka mitano mingine. 
Msanii Ali Kiba akifurahia kofia aliyopewa na Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli baada ya kutumbuiza katika Mkutano wa Kampeni mjini Bukoba mkoani Kagera leo Jumatano Septemba 16, 2020. Rais Dkt. Magufuli ameitaja Sanaa kama moja ya sekta muhimu sana za uchumi nchini na kuahidi kuisimamia kikamilifu katika kipindi chake cha pili cha Serikali ya awamu ya Tano endapo akichaguliwa tena kuongoza Tanzania kwa miaka mitano mingine.
Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpa zawadi ya kofia msanii Kala Jeremiah baada ya kutumbuiza katika Mkutano wa Kampeni mjini Biharamulo mkoani Kagera leo Jumatano Septemba 16, 2020.Msanii Kala Jeremiah akifurahia zawadi ya kofia aliyopewa na Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufulibaada ya kutumbuiza katika Mkutano wa Kampeni mjini Biharamulo mkoani Kagera leo Jumatano Septemba 16, 2020. Rais Dkt. Magufuli ameitaja Sanaa kama moja ya sekta muhimu sana za uchumi nchini na kuahidi kuisimamia kikamilifu katika kipindi chake cha pili cha Serikali ya awamu ya Tano endapo akichaguliwa tena kuongoza Tanzania kwa miaka mitano mingine.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...