Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Shinyanga mjini katika Mkutano wa Kampeni za Urais kwa upande wa CCM uliofanyika katika uwanja wa Kambarage mkoani Shinyanga leo tarehe 03 Septemba 2020.




Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza huku akiwa ameishika Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi CCM kwa mwaka 2020-2025 katika mkutano wa Kampeni za Urais kwa upande wa CCM uliofanyika katika uwanja wa Kambarage mkoani Shinyanga leo
tarehe 03 Septemba 2020.


Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa anafurahia wakati akiangalia msanii wa Singeli Sholo Mwamba alipokuwa akitumbuiza katika uwanja wa Kambarage mkoani Shinyanga.
Sehemu ya Wananchi wa Shinyanga wakishangilia wakati Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa akizungumza katika mkutano wa Kampeni Shinyanga mjini.
Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akicheza mziki pamoja na Msanii wa Bongo Flavour Chege Chigunda mara baada ya kuhutubia wananchi wa Shinyanga mjini katika Uwanja wa Kambarage mkoani Shinyanga.
Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Msanii wa Bongo Flavour Chege Chigunda wakati akipanda kwenye Jukwaa la Wasanii katika Uwanja wa Kambarage mkoani Shinyanga.
Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho tawala Rais Dkt John Pombe Magufuli akiwasalimu wananchi wa Shinyanga waliofurika katika Uwanja wa Kambarage mjijini Shinganya alipohutubia mkutano wa hadhara wa kampeni leo Alhamisi Septemba 3, 2020
Wagombea nafasi za Ubunge na Udiwani wakiamsha amsha mbele ya Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho tawala Rais Dkt John Pombe Magufuli na wananchi wa Shinyanga waliofurika katika Uwanja wa Kambarage mjijini Shinganya wakati wa mkutano wa hadhara wa kampeni leo Alhamisi Septemba 3, 2020.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...