Mgombea Mwenza wa
Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM
ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan, akisalimiana Viongozi na Wanachama wa Chama cha
Mapinduzi na Wananchi Jimbo la Ndanda alipowasili katia uwanja wa kijiji
cha Mateko Ndanda Wilayani Masasi wa ajili ya kuhutubia Mkutano wa
Kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM leo Septemba
13,2020.
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa
tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia Wanachama wa Chama cha
Mapinduzi na Wananchi Jimbo la Ndanda mkutano wa kampeni za Chama cha
Mapinduzi CCM katika Uwanja wa Madeko Wilayani Masasi Mkoani Mtwara leo
Septemba 13,2020.
Wanachama
wa Chama Cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Jimbo la Ndanda Wilayani
Masasi wakimsikiliza Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipokuwa
akiwahutubia kwenye Mkutano wa Kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM katika
Uwanja wa Madeko Ndanda Wilayani Masasi Mkoani Mtwara leo Septemba
13,2020.
(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...