MGOMBEA Urais wa Zanzibar Mhe Hussein Ali Hassan Mwinyi akisalimiana na Wazee wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) wakati wa hafla ya Kongamano la “Umoja Wewtu Wanawake Ndio Nguvu Yetu” lililoandaliwa na UWT katika ukumbi wa Afisi ya CCM Mkoa wa Mjini Amani Jijini Zanzibar(Picha na Ikulu)
WAJUMBE wa Kongamano la “Umoja Wetu Wanawake Ndio Nguvu Yetu” wakishangilia wakati wa ufunguzi wa kongamano hilo lililofanyika katika ukumbi wa Afisi ya CCM Mkoa wa Mjini Amani Jijini Zanzibar.(Picha Ikulu)
MKE wa Rais Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akihutubia katika hafla ya ufunguzi wa Kongamano la Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) “Umoja Wetu Wanawake Ndio Nguvu Yetu”lililofanyika katika ukumbi wa Afisi ya CCM Mkoa wa Mjini Amani Jijini Zanzibar. Lililowashirikisha Viongozi wa UWT na Wagombea Ubunge na Uwakilishi Zanzibar. (Picha na
Ikulu)

WAJUMBE wa Kongamano la (UWT) “Umoja Wetu Wanawake Ndio Nguvu Yetu” wakishangilia wakati wa kutambulishwa kwa Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) lililofanyika katika ukumbi wa Afisi ya CCM Mkoa wa Mjini Amani Jijini Zanzibar.(Picha Ikulu)
MWENYEKITI wa Umoja wa Wanawake Tanzania Mhe. Gaudentia Kabaka akimtambulisha Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mhe.Hussein Ali Hassan Mwinyi na (kulia kwa Mgombea ) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein na Mke wa Makamu wa Pili wa Zanzibar Mama Asha Suleiman Iddi, wakati wa hafla ya Kongamano la “Umoja Wetu Wanawake Ndio Nguvu Yetu”) lililofanyika katika ukumbi wa
Afisi ya CCM Mkoa wa Mjini Amani Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
MGOMBEA Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi
(CCM) Mhe Hussein Ali Hassan Mwinyi akiwahutubia Wajumbe wa Kongamano la (UWT) Umoja Wetu Wanawake Ndio Ngavu Yetu” lililofanyika katika ukumbi wa Afisi ya CCM Mkoa wa Mjini Amani Jijini Zanzibar(Picha na Ikulu).

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...