Mnec wa Iringa ambaye pia ni Mratibu wa Kampeni wa Kanda ya Nyanda za Juu kusini Ndg Salim Abri (Asas) hii leo ametembelea Jimbo la Namtumbo Mkoani Ruvuma na kumnadi Ndg Vita Kawawa (kulia) Mgombea Urais kupitia chama cha mapinduzi Mh John Pombe Magufuli ambapo pia amewaomba wananchi kumpa kupiga kura zote kwa CCM kwa ngazi zote yaani Diwani, Mbunge na Rais.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



















Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...