Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania(NBAA) inapenda kuwakaribisha wananchi na wadau wake wote wanaopenda kujiunga na Taaluma ya Uhasibu na Ukaguzi nchini, kutembelea Banda lake katika Maonesho ya 15 ya Vyuo Vikuu yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar Es Salaam.
Msaidizi wa Uhasibu wa NBAA, David Iman akitoa elimu kuhusu namna ya kufanya mitihani ya Bodi kwa Francis Kikoti pamoja na Living Mhina walipotembelea banda la Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania(NBAA) katika maonesho ya 15 ya vyuo vikuu yaliyoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu nchini(TCU) yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar Es Salaam.
Afisa Utafiti kutoka Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi Hesabu Tanzania(NBAA), Michael Mwakifuna(kulia) akiwafafanulia muundo wa mitihani ya Bodi Albert Mwesi na Deogratus Jimmy walipotembelea banda la Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) katika maonesho ya 15 ya vyuo vikuu yaliyoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu nchini(TCU) yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar Es Salaam.
Afisa Masoko na Mawasiliano wa NBAA Magreth Kageya(kulia) akitoa elimu kwa wanafunzi Albert Mwesi na Deogratus Jimmy walipotembelea banda la Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi Hesabu Tanzania (NBAA) katika maonesho ya 15 ya vyuo vikuu yaliyoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu nchini(TCU) yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar Es Salaam. Wa pili kulia ni Afisa Utafiti kutoka Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania(NBAA), Michael Mwakifuna .
Msaidizi wa Uhasibu wa NBAA, David Iman(kushoto) pamoja na Afisa Mdhibiti wa Viwango wa Hesabu wa NBAA, Bertha Kipangula(katikati) wakimsikiliza mzee Robert Muhina alipokuwa anauliza maswali kuhusu kazi mbalimbali zinazofanywa na Bodi alipotembelea banda la Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania(NBAA) katika maonesho ya 15 ya vyuo vikuu yaliyoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu nchini(TCU) yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar Es Salaam.
Afisa Utafiti kutoka Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania(NBAA), Michael Mwakifuna akiwafafanulia muundo wa mitihani ya Bodi kwa Albert Mwesi na Deogratus Jimmy walipotembelea banda la Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) katika maonesho ya 15 ya vyuo vikuu yaliyoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu nchini(TCU) yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar Es Salaam. Kulia ni Afisa Masoko na Mawasiliano wa NBAA Magreth Kageya.
Msaidizi wa Uhasibu wa NBAA, David Iman(kulia) akimuonyesha gharama mpya za mitihani ya Bodi kwa afisa wa Chuo cha Ushirika Moshi alipotembelea banda la Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi Hesabu Tanzania(NBAA) katika maonesho ya 15 ya vyuo vikuu yaliyoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu nchini(TCU) yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar Es Salaam.
Afisa Mdhibiti wa Viwango wa NBAA, Bertha Kipangula(kulia) akitoa ufafanuzi kuhusu ufanyaji wa mitihani ya Bodi kwa Afisa wa Chuo cha Ushirika Moshi alipotembelea banda la Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi Hesabu Tanzania(NBAA) katika maonesho ya 15 ya vyuo vikuu yaliyoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu nchini(TCU) yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar Es Salaam. Msaidizi wa Uhasibu wa NBAA, David Iman.
Msaidizi wa Uhasibu wa NBAA, David Iman(kushoto) akitoa elimu kuhusu NBAA kwa Mussa Shaban alipotembelea banda la Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania(NBAA) katika maonesho ya 15 ya vyuo vikuu yaliyoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu nchini(TCU) yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar Es Salaam.
Mkurugenzi wa Bodi ya NBAA, CPA Pius Maneno(wa tatu kulia) akiwa kwenye picha ya pamoja na baadi ya maafisa wa Bodi
ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania(NBAA) katika maonesho ya 15 ya vyuo vikuu yaliyoandaliwa na
Tume ya Vyuo Vikuu nchini(TCU) yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi
Mmoja jijini Dar Es Salaam.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...