Mwakilishi wa Vodacom Tanzania PLC, Rehema Kipanga (katikati) akimkabidhi medali ya ushindi wa pili mchezaji wa Namungo, Jamali Issa Dullazi mara baada ya mchezo wa Ngao ya jamii uliofanyika uwanja wa Sheikh Amri Abeid Arusha jana ambapo mshindi alikuwa timu ya Simba, mchezo huo ulitumika pia kuzindua msimu mpya wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania. Kulia ni mkuu wa mkoa wa Arusha Idd Hassan Kimanta.
Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati) akikabidhi Ngao ya jamii kwa Nahodha wa Simba Sc, John Bocco mara baada ya kutwaa Ngao hiyo ya kuashiria uzinduzi rasmi wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania 2020/21. Kushoto ni mkuu wa mkoa wa Arusha Idd Hassan Kimanta.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...