Bondia
Imani Daidi Mapambano kushoto akitunishiana misuli na Japhet Kaseba
Baada ya kusaini mkataba wa kuzipiga Novemba 28 utakaofanyika katika
ukumbi wa Next Door Masaki, katikati ni mratibu wa mpambano huo Amosi
Nkondo 'Amoma'
Bondia Imani Daudi Mapambano kushoto akitunishiana misuli na Japhet Kaseba baada ya kusaini kuzipiga Novemba 28 Dar es salaam
Bondia
Swalehe Mkalekwa kushoto na Ramadhani Shauli wakitunishiana misuli
baada ya kusaini mkataba wa kuzipiga Novemba 28 katika ukumbi wa Next
Door uliopo Masaki Dar es salaam
Mratibu
wa mpambano wa masumbwi Amosi Nkondo 'Amoma' katikati akiwainuwa mikono
juu mabondia Paul Kamata kushoto na Kanda Kabongo
| Bondia Paul Kamata kushoto akitunishiana misuli na Kanda Kabongo baada ya kusaini mkataba |


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...