Mgombea Urais wa CCM Dkt.Hussein Ali Hassan Mwinyi (kushoto) akipokea Ilani ya Chama cha Mapinduzi 2020-2025 kutoka kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein mara baada ya kumtambulisha kwa wanaCCM   wa Mikoa ya Pemba katika Uzinduzi wa kampeni za Uchaguzi Mkuu Mwezi Octoba zilizofanyika leo uwanja wa Gombanio ya Kale Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba.[]Piocha na Ikulu] 16 Sep 2020.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiteta jambo na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Saadala    katika Uzinduzi wa kampeni za Uchaguzi Mkuu Mwezi Octoba zilizofanyika leo uwanja wa Gombani  ya Kale Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba.[]Piocha na Ikulu] 16 Sep 2020.
Maelfu ya Wanachi na WanaCCM wa Mikoa wa Pemba wakiwa katika UIzinduzi wa Kampeni za CCM kwa Kuwatambulisha na kuwaombea Kura wagombea wa nafasi mbali mbali ikiwemo Urais wa Zanzibar,Ubunge,Uwakilishi na Udiwani katika Uwanja wa Gombani ya Kale Wilaya ya Chakechake Pemba leo.[Picha na Ikulu.] 16/Sep 2020.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...