Mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi mkoa Kagera, Mama Costansia Buhiye(katikati), Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi wilya Karagwe, Roninson Mtafungwa (kushoto) na MNEC wa mkoa Kagera, Willibroad Mtabuzi(Kulia) Wameambatana kuwatembelea wanafunzi waliolazwa katika hospitali ya Nyakahanga kufatia  ajari ya kuungua moto bweni la shule ya msingi Isilamic (Byamungu), uliotokea usiku wa kuamkia leo. , Kyerwa, Kagera, Septemba 14, 2020
Mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi mkoa Kagera, Mama Costansia Buhiye (aliyevaa miwani) akiwa ameambatana na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa Kagera wakitoa pole na kuwafaliji wazazi wa wanafunzi waliolazwa katika hospitali ya Nyakahanga kufatia  ajari ya kuungua moto bweni la shule ya msingi Isilamic (Byamungu), uliotokea usiku wa kuamkia leo, Kyerwa, Kagera, Septemba 14, 2020

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...