Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro (wa pili kutoka kushoto) akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Kusini Pemba Mhe. Hemed Suleiman kabla ya kuanza kwa kikao kazi na wadau wa vyama vya siasa, viongozi wa dini, viongozi wa Kamati ya ulinzi na usalama pamoja na wadau wengine wa uchaguzi kisiwani Pemba. Picha na Jeshi la Polisi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, akizungumza na baadhi ya wadau wa vyama vya siasa, viongozi wa dini, viongozi wa Kamati ya ulinzi na usalama pamoja na wadau wengine wa uchaguzi (hawapo pichani) leo kisiwani Pemba wakati alipokuwa kwenye ziara ya kikazi ambapo aliwataka wadau wote wa uchaguzi pamoja na wananchi kuendelea kudumisha amani na utulivu kwenye kisiwa hicho. Picha na Jeshi la Polisi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, Kamishna wa Polisi Zanzibar CP Mohamed Hassan wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa dini baada ya kumaliza kikao kazi pamoja na wadau wa vyama vya siasa, viongozi wa dini, viongozi wa Kamati ya ulinzi na usalama pamoja na wadau wengine wa uchaguzi leo kisiwani Pemba wakati alipokuwa kwenye ziara ya kikazi ambapo aliwataka wadau wote wa uchaguzi pamoja na wananchi kuendelea kudumisha amani na utulivu kwenye kisiwa hicho. Picha na Jeshi la Polisi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...