Mjumbe wa Kamati Kuu, Kassim Majaliwa, akiwahutubia wananchi wa Kata ya Igulwa, wilayani Bukombe, katika mkutano wa kampeni, Oktoba 1, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Wananchi wa Kata ya Isingiro, wakifurahia hotuba ya Mjumbe wa Kamati Kuu, Kassim Majaliwa, wakati akiwahutubia, katika mkutano wa kampeni, uliyofanyika katika Kata ya Igulwa,  wilayani Bukombe, Oktoba 1, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Mjumbe wa Kamati Kuu, Kassim Majaliwa, akiwakabidhi nakala ya Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2020-2025 Mgombea Ubunge wa Jimbo la Bukombe, Dotto Biteko, katika mkutano wa kampeni, uliyofanyika katika Kata ya Igulwa, wilayani Bukombe, kwenye mkutano wa kampeni, Oktoba 1, 2020. Katikati ni Mgombea Udiwani Kata ya Igulwa, Richard Mabenga. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Mgombea Ubunge wa Jimbo la Bukombe, Dotto Biteko (kulia), akinadi Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2020-2025 kwa wananchi, baada ya kukabidhiwa na Mjumbe wa Kamati Kuu, Kassim Majaliwa, katika Kata ya Igulwa, wilayani Bukombe, kwenye mkutano wa kampeni, Oktoba 1, 2020. Kulia ni Mgombea Udiwani Kata ya Igulwa, Richard Mabenga. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...