Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk. John Pombe Magufuli akipiga ngoma ya Tumba wakati Bendi ya TOT ilipokuwa ikitumbuiza katika mkutano wa kampeni uliofanyika mjini Vwawa leo Alhamisi Oktoba 01,2020

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk. John Pombe Magufuli akipiga ngoma ya Tumba wakati Bendi ya TOT ilipokuwa ikitumbuiza katika mkutano wa kampeni uliofanyika mjini Vwawa leo Alhamisi Oktoba 01,2020

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk. John Pombe Magufuli akimkabidhi kofia mwimbaji wa muziki wa injili Rose Muhando aliyetumbuiza kwenye mkutano huo wa kampeni uliofanyika mjini Vwawa leo Alhamisi Oktoba 01,2020

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwasalimia wagombea ubunge wa mkoa wa Songwe Mara baada ya kumaliza kuhutubia mkutano wa kampeni uliofanyika mjini Vwawa leo Alhamisi Oktoba 01,2020

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk. John Pombe Magufuli akipunga mkoani wakati akiwaaga wananchi wa Vwawa baada ya kuhutubia mkutano wa kampeni uliofanyika mjini humo leo Alhamisi Oktoba 01,2020

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...