Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Kassim Majaliwa akimwombea kura mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Rais Dkt. John Pombe Magufuli katika mkutano wa kampeni aliouhutubia kwenye uwanja wa CCM Sabasaba, Masasi Oktoba 21, 2020. 

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Kassim Majaliwa akiwaomba wananchi wa Masasi wawapigie kura wagombea wa Ubunge wa CCM ,  Cecil Mwambe wa Ndanda (wa pili kushoto), Geofrey Mwambe wa Masasi na  Issa Ally Mchungahela wa Lulindi (kulia)  wakati alipohutubia mkutano wa kampeni kwenye uwanja wa CCM Sabasaba, Masasi, Oktoba 21, 2020.

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Kassim Majaliwa akiteta na mgombea ubunge wa CCM katika  Jimbo la Masasi, Geofrey Mwamba katika mkutano wa kampeni aliouhutubia kwenye uwanja wa CCM Sabasaba, Masasi, Oktoba 21, 2020. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...