Mgombea Urais wa Zanzibar Dk.Hussein  Ali Hassan Mwinyi alipokuwa akitoa sera za Chama na kuomba kura kwa Wanannchi na wanachama wa Chama cha Mapinduzi katika Mkutano wa Kampeni za CCM uliofanyika leo Jimbo la Bumbwini Wilaya ya Kaskazini “B” Mkoa wa Kaskazini Unguja,[Picha na Ikulu] 07/10/2020. Viongozi wa Chama cha Mapinduzi CCM wakiwa katika Mkutano wa Kampeni za CCM uliofanyika leo Jimbo la Bumbwini Wilaya ya Kaskazini “B” Mkoa wa Kaskazini Unguja uliowanadi wagombea nafasi za Uongozi katika Uchaguzi Mkuu wa Mwezi Octoba mwaka huu.[Picha na Ikulu] 07/10/2020.

Wanachama wa CCM “Team Mwinyi Kwanza” ni miongoni mwa waliohudhuria katika Mkutano wa Kampeni za CCM uliofanyika leo Jimbo la Bumbwini Wilaya ya Kaskazini “B” Mkoa wa Kaskazini Unguja uliowanadi wagombea nafasi za Uongozi katika Uchaguzi Mkuu wa Mwezi Octoba mwaka huu.[Picha na Ikulu] 07/10/2020.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akimkabidhi Ilani ya Chama cha Mapinduzi Mgombea Ubunge  wa Jimbo la Mahonda Abdalla Ali Hassan Mwinyi    wakati wa Mkutano wa Kampeni za CCM uliofanyika leo Jimbo la Bumbwini Wilaya ya Kaskazini “B” Mkoa wa Kaskazini Unguja.[Picha na Ikulu] 07/10/2020.

Wagombea Ubunge na Uwakilishi CCM Jimbo la Bumbwini wakionesha Ilani walizokabidhiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein wakati wa Mkutano wa Kampeni za CCM uliofanyika leo Jimbo la Bumbwini Wilaya ya Kaskazini “B” Mkoa wa Kaskazini Unguja.[Picha na Ikulu] 07/10/2020.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...