gombea
Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akizungumza na Wananchi wa Karatu katika mkutano wa Kampeni za
CCM uliofanyika katika viwanja vya mnadani Karatu mkoani Arusha leo
tarehe 24 Oktoba 2020.
Mgombea Urais kupitia Chama cha
Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika
viwanja vya mnadani Karatu mkoani Arusha kwa ajili ya kuwahutubia
wananchi leo tarehe 24 Oktoba 2020.
Wananchi wa Karatu wakiwa wamekusanyika katika viwanja vya mnadani
Karatu mkoani Arusha wakimsikiliza Mgombea Urais kupitia Chama cha
Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa
akiwahutubia leo tarehe 24 Oktoba 2020.
Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa akifurahia hotuba ya Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli wakati akihutubia wananchi wa Mto wa Mbu mkoani Arusha leo tarehe 24 Oktoba 2020.
Mgombea
Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akimpa zawadi ya Kofia Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa mara
baada ya kuwahutubia wananchi wa Mto wa Mbu mkoani Arusha leo tarehe 24
Oktoba 2020.
Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa akimpigia saluti Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya kuwahutubia wananchi wa Mto wa Mbu mkoani Arusha leo tarehe 24 Oktoba 2020.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...