Mgombea Urais kupitia Chama
cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia
mkono kuwasalimia wananchi wa Babati mjini mara baada ya kuwasili katika
uwanja wa Kwaraa Babati mkoani Manyara leo tarehe 25 Oktoba 2020.
Mgombea Urais kupitia Chama
cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
na Wananchi wa Babati katika mkutano wa Kampeni za CCM zilizofanyika
katika uwanja wa Kwaraa Babati mkoani Manyara leo tarehe 25 Oktoba 2020.
Mgombea Urais kupitia Chama
cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika
mkutano wa Kampeni katika eneo la Magugu Babati mkoani Manyara leo
tarehe 25 Oktoba 2020.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...