Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa yua Uchaguzi, Dk. Wilson Mahera Charles (kulia)akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi za Tume, Njedengwa jijini Dodoma leo 25 Oktoba 2020, kuahisiana na madai ya uwepo wa vituo na wapiga kura hewa katika maeneo mbalimbali nchini ambayo yamekua yakitolewa na vyama vya siasa na wagombea wao. (Picha na Mroki Mroki-NEC)
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa yua Uchaguzi, Dk. Wilson Mahera Charles (kulia)akionesha kwa waandishi wa habari jarida la maandalizi ya uchaguzi mkuu 2020 katika ofisi za Tume, Njedengwa jijini Dodoma leo 25 Oktoba 2020, wakati akifafanua kuhusu madai ya uwepo wa vituo na wapiga kura hewa katika maeneo mbalimbali nchini ambayo yamekua yakitolewa na vyama vya siasa na wagombea wao. Pamoja nae ni Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari na Elimu ya Mpigakura, Dk. Cosmas Mwaisobwa. (Picha na Mroki Mroki-NEC)
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa yua Uchaguzi, Dk. Wilson Mahera Charles (kulia)akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi za Tume, Njedengwa jijini Dodoma leo 25 Oktoba 2020, kuahisiana na madai ya uwepo wa vituo na wapiga kura hewa katika maeneo mbalimbali nchini ambayo yamekua yakitolewa na vyama vya siasa na wagombea wao. Pamoja nae ni Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari na Elimu ya Mpigakura, Dk. Cosmas Mwaisobwa. (Picha na Mroki Mroki-NEC)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...