Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Moshi waliofurika katika mkutano wa Kampeni za CCM uliofanyika katika uwanja wa Ushirika Moshi mkoani Kilimanjaro leo tarehe 21 Oktoba 2020.


Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika uwanja wa Ushirika
Moshi mkoani Kilimanjaro kwa ajili ya mkutano wa Kampeni za CCM leo
tarehe 21 Oktoba 2020.




Sehemu ya Wananchi wa Moshi waliohudhuria Mkutano wa Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli uliofanyika katika uwanja wa Ushirika Moshi mkoani Kilimanjaro leo tarehe 21 Oktoba 2020.

 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...