
Mgombea UIrais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwanadi wagombea udiwani mbele ya maelfu ya wananchi wa majimbo ya Kibamba na Ubungo Uwanja wa Barafu wa Mburahati katika mkutano wake wa tatu wa kampeni mkoani Dar es salaam leo Jumanne Oktoba 13, 2020


Mgombea UIrais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwasili katika Uwanja wa Barafu wa Mburahati tayari kuhutubia maelfu ya wananchi wa majimbo ya Kibamba na Ubungo katika mkutano wake wa tatu wa kampeni mkoani Dar es salaam leo Jumanne Oktoba 13, 2020





Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...