Mgombea Urais kupitia Chama cha
Mapinduzi CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na
Wananchi wa Kinyerezi Wilayani Ilala katika muendelezo wa mikutano ya
Kampeni za CCM zilizofanyika katika uwanja wa Kinyerezi jijini Dar es
Salaam
Sehemu ya Wananchi wa Kinyerezi
mkoani Dar es Salaam wakishangilia wakati Mgombea Urais kupitia Chama
cha Mapinduzi CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli wakati
akinadi sera za CCM leo tarehe 12 Oktoba, 2020.
Mgombea Urais kupitia Chama cha
Mapinduzi CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia
Wanachama wa CCM baada ya mkutano wa Kampeni Kinyerezi leo tarehe 12
Oktoba, 2020 jijini Dar es Salaam.
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo mara baada ya kuwasili Kinyerezi kwa ajili ya kuwahutubia wananchi leo tarehe 12 Oktoba, 2020 jijini Dar es Salaam.
Mgombea
Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akicheza mziki wa Singeli na Msanii Dulla Makabila kabla ya
kuwahutubia wananchi wa Kinyerezi leo tarehe 12 Oktoba, 2020 jijini Dar
es Salaam.



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...