Mgombea Urais wa Zanzibar CCM Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwasalimia wanaCCM na Wananchi alipowasili katika viwanja vya Mnazi Mmoja Mjini Zanzibar leo katika kampeni za Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu zinazoendelea [Picha na Ikulu] 03/10/2020.Mgombea Urais wa Zanzibar CCM Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwasalimia wanaCCM na Wananchi alipowasili katika viwanja vya Mnazi Mmoja Mjini Zanzibar leo katika kampeni za Uchaguzi Mkuuwa mwaka huu zinazoendelea [Picha na Ikulu] 03/10/2020.
Maelfu ya WanaCCm na wananchi wa Zanzibar waliofurika katika Viwanja vya Mnazi mmoja leo katika kampeni za Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu zinazoendelea kuwananadi Wagombea akiwemo Rais wa Tanzania na rais wa Zanzibar pamoja na Wabunge na wawakilishi pia Madiwani.[Picha na Ikulu] 03/10/2020.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...