

Mkurugenzi wa Miundombinu kutoka Jumuiya ya Afrika Mashariki, Dkt. Kamugisha Kazaura akitoa maelezo namna EAC inavyoratibu upatikanaji wa fedha kwa ajili ya kutekeleza miradi ya kikanda. |
Ujenzi wa Mtambo wa Kuzalisha Umeme katika Mto Kagera
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Brig. Gen. Wilbert Ibuge akisaini Kitabu cha Wageni mara baada ya kuwasili kwenye eneo unapojengwa Mtambo wa Kuzalisha Umeme katika Mto Kagera. |
Balozi wa Tanzania nchini Burundi, Mhe. Dkt. Jilly Maleko akisaini Kitabu cha Wageni mara baada ya kuwasili kwenye eneo unapojengwa Mtambo wa Kuzalisha Umeme katika Mto Kagera. |
Mhandisi wa Kampuni inayojenga Mtambo wa kuzalisha umeme katika Mto Kagera akitoa maelezo kuhusu maendeleo ya ujenzi wa mtambo huo kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Brig. Gen. Wilbert Ibuge. |
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Brig. Gen. Wilbert Ibuge akiuliza maswali kwa wahandisi wanaojenga mradi wa kuzalisha umeme katika Mto Kagera. |
Sehemu ya Eneo unapojengwa Mtambo wa Kuzalisha Umeme katika Mto Kagera.
|
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Brig. Gen. Wilbert Ibuge akiongea na Mtalaam wa Afya katika Kituo cha Huduma kwa Pamoja Mpakani cha Rusumo.
|
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Brig. Gen. Wilbert Ibuge, Balozi wa Tanzania nchini Burundi, Dkt. Jilly Maleko, Naibu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Mhandisi Steven Mlote pamoja na ujumbe wao akitemb kwa miguu kuelekea katika Kituo cha Kutoa Huduma kwa Pamoja Mpakani cha Rusumo. |
Malori yakiwa katika foleni ya ukaguzi katika Kituo cha Kutoa Huduma kwa Pamoja Mpakani cha Rusumo.
|
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Brig. Gen. Wilbert Ibuge na ujumbe wake wakiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa Kituo cha Huduma kwa Pamoja Mpakani cha Rusumo. |
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...