Walimu na Wazazi jijini Dar es Salaam wamepatiwa mafunzo ya kutatua changamoto za uelewa kwa Watoto wadogo ambao wenye mtaizo ya kuelewa haraka na kisembe pindi wanapokuwa shuleni na nyumbani kutoka Tasisi ya Polygot House of Language ya jijini Hapa kwa kushirikiana na ubalozi wa Poland.
Akizungumza na waandishi wa Habari mara baada ya kuhitimisha mafunzo hayo mkufunzi mkuu kutoka Tasisi ya Polygot Mariana Msengi amesema wameamua kufanya mafunzo hayo kutokana na changamoto za ufundishaji walizoziona kwa badhi ya walimu hapa nchini hasa kwa Watoto wadogo.
“walimu wengi wameshindwa kutofautisha kati ya utundu wa mtoto na kutokuelewa hivyo hali hii imepelekea walimu wengi kuacha Watoto nyuma wakati wa ufundishaji hivyo hapa tunawapa mbinu mbadala za kuwasaidia Watoto hawa kupata elimu sawa na wengine kwani wengi wamekuwa wakiachwa nyuma kutokana na mapungufu yao” Amesema Mariana Msengi.
Kwa upande wake mgeni mwalikwa katika progrwamu hiyo Anna Michael amesema kuwa anampenda Marina kwa kuwa anafundisha Watoto wenye uwezo mdogo na baadae wanafika hatua mpka wanafaulu darasani kuwa saw ana wale ambao walionyesha uwezo mkubwa hapo awali.
Anasema kuwa walimu wengi wana uwezo wa kuwafundisha Watoto wenye akili lakini awajui kufundisha Watoto wenye uwezo mdogo hivyo mariana amejitolea kufundisha walimu na wazazi mbinu mbdala hili Watoto wote wawe sawa katika kufundishwa darasani.
Anasema kuwa kwa sasa wamejenga madarasa lakini wanachangamoto ya thamani za ndani hivyo ubalozo wa Poland kupitia shirika lake la Polish AID Wameaidi kugharamia thamani zote zitakazowekwa katika madarasa hayo ya kuwafundisha wakufunzi na Watoto.
Kwa upande wake mmoja wa wanufaika wa masomo hayo Salome Muza amesema mafunzo hayo yamewasaidia sana kwa kupata uelewa mpya pindi watkapokwenda kufundisha mashuelni walipotoka.

Mkufunzi mkuu kutoka Tasisi ya Polygot, Mariana Msengi, Akiwafundisah walimu walioshiriki mafunzo hayo maalumu kwa ajili yakuwafundisha watoto .
Mgeni Maalum katika mafunzo hayo Anna Michael Akieleza namna Mariana anavyosaidia watoto wenye uelewa mdogo kutokana na utaalamu wake.
Walimu na wazazi walioshiriki mafunzo hayo wakifatilia mafunzo kutoka kwa mkufunzi mkuu kutoka Tasisi ya Polygot Mariana Msengi
Washiriki wakiwa katika picha ya pamoja na mkufunzi mkuu kutoka Tasisi ya Polygot Mariana Msengi
--
Akizungumza na waandishi wa Habari mara baada ya kuhitimisha mafunzo hayo mkufunzi mkuu kutoka Tasisi ya Polygot Mariana Msengi amesema wameamua kufanya mafunzo hayo kutokana na changamoto za ufundishaji walizoziona kwa badhi ya walimu hapa nchini hasa kwa Watoto wadogo.
“walimu wengi wameshindwa kutofautisha kati ya utundu wa mtoto na kutokuelewa hivyo hali hii imepelekea walimu wengi kuacha Watoto nyuma wakati wa ufundishaji hivyo hapa tunawapa mbinu mbadala za kuwasaidia Watoto hawa kupata elimu sawa na wengine kwani wengi wamekuwa wakiachwa nyuma kutokana na mapungufu yao” Amesema Mariana Msengi.
Kwa upande wake mgeni mwalikwa katika progrwamu hiyo Anna Michael amesema kuwa anampenda Marina kwa kuwa anafundisha Watoto wenye uwezo mdogo na baadae wanafika hatua mpka wanafaulu darasani kuwa saw ana wale ambao walionyesha uwezo mkubwa hapo awali.
Anasema kuwa walimu wengi wana uwezo wa kuwafundisha Watoto wenye akili lakini awajui kufundisha Watoto wenye uwezo mdogo hivyo mariana amejitolea kufundisha walimu na wazazi mbinu mbdala hili Watoto wote wawe sawa katika kufundishwa darasani.
Anasema kuwa kwa sasa wamejenga madarasa lakini wanachangamoto ya thamani za ndani hivyo ubalozo wa Poland kupitia shirika lake la Polish AID Wameaidi kugharamia thamani zote zitakazowekwa katika madarasa hayo ya kuwafundisha wakufunzi na Watoto.
Kwa upande wake mmoja wa wanufaika wa masomo hayo Salome Muza amesema mafunzo hayo yamewasaidia sana kwa kupata uelewa mpya pindi watkapokwenda kufundisha mashuelni walipotoka.
Mkufunzi mkuu kutoka Tasisi ya Polygot, Mariana Msengi, Akiwafundisah walimu walioshiriki mafunzo hayo maalumu kwa ajili yakuwafundisha watoto .
Mgeni Maalum katika mafunzo hayo Anna Michael Akieleza namna Mariana anavyosaidia watoto wenye uelewa mdogo kutokana na utaalamu wake.
--
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...