Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisisitiza jambo wakati
alipofanya mazungumzo na wafanyakazi wasaidizi wa Rais Ofisi ya Faragha
leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar pamoja na kuagana rasmi baada ya
kufanyakazi nao pamoja kwa utumishi wake wa Urais.[picha na Ikulu]
26/10/2020.
Baadhi ya Wafayakazi
wakimsikilira Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipofanya mazungumzo na
wafanyakazi wasaidizi wa Rais Ofisi ya Faragha, leo katika ukumbi wa
Ikulu Mjini Zanzibar pamoja na kuagana rasmi baada ya kufanyakazi nao
pamoja kwa utumishi wake wa Urais.[picha na Ikulu] 26/10/2020.Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) alipofanya mazungumzo na wafanyakazi wasaidizi wa Rais Ofisi
ya Faragha katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar alipowaaga rasmi
baada ya kufanyakazi nao pamoja kwa utumishi wake wa Urais.[picha na
Ikulu] 26/10/2020.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...