Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakiongea na Mama Anna Mkapa, Mjane wa Rais ya Awamu ya Tatu Marehemu Benjamin William Mkapa,walipokwenda kumjulia hali nyumbani kwake Masaki jijini Dar es salaam leo Jumapili
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakiagana na Mama Anna Mkapa, Mjane wa Rais ya Awamu ya Tatu Marehemu Benjamin William Mkapa, na wasaidizi wake walipokwenda kumjulia hali nyumbani kwake Masaki jijini Dar es salaam leo Jumapili
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth Magufuli
wakiagana na Mama Anna Mkapa, Mjane wa Rais ya Awamu ya Tatu Marehemu
Benjamin William Mkapa, na wasaidizi wake walipokwenda kumjulia hali
nyumbani kwake Masaki jijini Dar es salaam leo Jumapili
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...