

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza kwa njia ya Simu na Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli alipokuwa akihutubia mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM kwa Wananchi wa Jimbo la Lupa katika Uwanja wa Shule ya Msingi Makongorosi Chunya Mkoani Mbeya leo Octoba 14,2020 (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...