 Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa 
pamoja na Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Aboubakar Zubeir Bin Ally, 
Balozi wa Morocco hapa nchini Abdelilah Benryane wakati alipotembelea 
Msikiti Mkuu wa BAKWATA uliopo Kinondoni Muslim jijini Dar es Salaam 
ambao umekamilika kujengwa kwa ufadhili wa Mfalme Mohamed VI wa Morocco 
wakati akielekea Mburahati kwa ajili ya Mikutano ya Kampeni za Urais kwa
 upande wa Chama cha Mapinduzi CCM leo tarehe 13 Oktoba 2020.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli 
akimsikiliza Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Aboubakar Zubeir Bin Ally 
wakati alipotembelea Msikiti huo Mkuu wa Bakwata Kinondoni Muslim jijini
 Dar es Salaam.

 Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli 
akizungumza jambo wakati alipotembelea Msikiti Mkuu wa BAKWATA uliopo 
Kinondoni Muslim jijini Dar es Salaam ambao umekamilika kujengwa kwa 
ufadhili wa Mfalme Mohamed VI wa Morocco baada ya Mhe. Rais Magufuli 
kumuomba Mfalme wa Morocco kuwajengea Waislamu Msikiti alipofanya ziara 
hapa nchini tarehe 24 Oktoba, 2017.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli 
akizungumza jambo wakati alipotembelea Msikiti Mkuu wa BAKWATA uliopo 
Kinondoni Muslim jijini Dar es Salaam ambao umekamilika kujengwa kwa 
ufadhili wa Mfalme Mohamed VI wa Morocco baada ya Mhe. Rais Magufuli 
kumuomba Mfalme wa Morocco kuwajengea Waislamu Msikiti alipofanya ziara 
hapa nchini tarehe 24 Oktoba, 2017. 
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa 
Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mufti Mkuu wa 
Tanzania Sheikh Aboubakar Zubeir Bin Ally, Balozi wa Morocco hapa nchini
 Abdelilah Benryane wakwanza kushoto, pamoja na viongozi mbalimbali wa 
Bakwata mara baada ya kutembelea Msikiti Mkuu wa Bakwata uliokamilika 
kujengwa kwa ufadhili wa Mfalme Mohamed VI wa Morocco.  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli 
akiombewa Dua iliyokuwa ikiongozwa Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh 
Aboubakar Zubeir Bin Ally mara baada ya kutembelea Msikiti Mkuu wa 
Bakwata uliokamilika kujengwa kwa ufadhili wa Mfalme Mohamed VI wa 
Morocco.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli 
akiombewa Dua iliyokuwa ikiongozwa Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh 
Aboubakar Zubeir Bin Ally mara baada ya kutembelea Msikiti Mkuu wa 
Bakwata uliokamilika kujengwa kwa ufadhili wa Mfalme Mohamed VI wa 
Morocco.
 Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli 
akimsikiliza Balozi wa Morocco hapa nchini Abdelilah Benryane wakati 
alipokuwa akielezea ujenzi huo wa Msikiti mpya uliokamilika kujengwa 
katika Makao makuu ya Bakwata Kinondoni jijini Dar es Salaam.

PICHA NA IKULU

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...