
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na viongozi mbalimbali wa Arusha na Kilimanjaro akikata utepe kuashiria uzinduzi wa huduma ya usafiri wa Treni ya Abiria ya Shirika la Reli TRC kutoka Dar es Salaam hadi Arusha katika hafla fupi iliyofanyika katika Stesheni ya Arusha leo tarehe 24 Oktoba 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akizungumza jambo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi
na Mawasiliano (Sekta ya Uchukuzi) Dkt. Leonard Chamuriho mara baada ya
kukagua moja ya behewa la treni hiyo ya abiria ya kutoka Dar hadi
Arusha.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa
Arusha akiwa juu ya treni ya Abiria mara baada ya kuzindua huduma ya
usafiri wa Treni ya Abiria ya Shirika la Reli TRC kutoka Dar es Salaam
hadi Arusha katika hafla fupi iliyofanyika katika Stesheni ya Arusha leo
tarehe 24 Oktoba 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wananchi
wa Arusha mara baada ya kuzindua huduma ya usafiri wa Treni ya Abiria ya
Shirika la Reli TRC kutoka Dar es Salaam hadi Arusha katika hafla fupi
iliyofanyika katika Stesheni ya Arusha leo tarehe 24 Oktoba 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Arusha kabla ya kuzindua huduma ya usafiri wa Treni ya Abiria ya Shirika la Reli TRC kutoka Dar es Salaam hadi Arusha katika hafla fupi iliyofanyika katika Stesheni ya Arusha leo tarehe 24 Oktoba 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akitoka kukagua moja ya
behewa la abiria mara baada ya kuzindua huduma ya usafiri wa Treni ya
Abiria ya Shirika la Reli TRC kutoka Dar es Salaam hadi Arusha katika
hafla fupi iliyofanyika katika Stesheni ya Arusha leo tarehe 24 Oktoba
2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akijiandaa kuzungumza na
wananchi wa Arusha kabla ya kuzindua huduma ya usafiri wa Treni ya
Abiria ya Shirika la Reli TRC kutoka Dar es Salaam hadi Arusha katika
hafla fupi iliyofanyika katika Stesheni ya Arusha leo tarehe 24 Oktoba
2020.Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akitoa maelekezo kwa viongozi wa TRC mara baada ya kuzindua huduma ya
usafiri wa Treni ya Abiria ya Shirika la Reli TRC kutoka Dar es Salaam
hadi Arusha katika hafla fupi iliyofanyika katika Stesheni ya Arusha leo
tarehe 24 Oktoba 2020.
PICHA NA IKULU.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...