Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akimkabidhi funguo
Bibi.Miza Haji Juma akiwa ni miongoni mwa Wananchi watakaoishi katika
Nyumba za Makaazi za Kijiji Kipya Dundua Bumbwini Wilaya ya Kaskazini”B”
Unguja kufuatia kuhamishwa katika makaazi yao ya awali kupisha ujenzi
wa Mradi wa Bandari ya Mafuta na Gesi Asilia,hafla hiyo ilifanyika leo
katika viwanja vya Nyumba hizo,[Picha na Ikulu] 24/10/2020.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akitoa
hutuba yake ya Ufunguzi wa Nyumba za Makaazi za Kijiji Kipya Dundua
Bumbwini Wilaya ya Kaskazini”B” Unguja. hafla hiyo ilifanyika leo katika
viwanja vya Nyumba hizo,[Picha na Ikulu] 24/10/2020.
Baadhi ya wananchi wa maeneo
jirani na Kijiji cha Dundua wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)
katika Ufunguzi wa Nyumba za Makaazi za Kijiji Kipya Dundua Bumbwini
Wilaya ya Kaskazini”B” Unguja. hafla hiyo ilifanyika leo .[Picha na
Ikulu] 24/10/2020.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akikata utepe
kufungua Nyumba za Makaazi za Kijiji Kipya Dundua Bumbwini Wilaya ya
Kaskazini”B” Unguja. hafla hiyo ilifanyika leo ambapo Viongozi mbali
mbali walishuhudia ufunguzi huo.[Picha na Ikulu] 24/10/2020.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifungua pazia
kuweka jiwe la msingi msikiti katika Nyumba za Makaazi za Kijiji Kipya
Dundua Bumbwini Wilaya ya Kaskazini”B” Unguja leo.(kulia) Waziri wa
Ardhi,Maji,Nyumba na Nishati mhe.salama Aboud Talib na (kushoto) Makamo
Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Udhibiti Huduma za maji na Nishati
(ZURA) Mama Zakia Melgji hafla hiyo ilifanyika leo ambapo Viongozi mbali
mbali walishuhudia ufunguzi huo.[Picha na Ikulu] 24/10/2020.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) akipata maelezo mara alipotembelea Nyumba za Makaazi za Kijiji Kipya Dundua Bumbwini Wilaya ya Kaskazini”B” Unguja. baada ya kuzifungua rasmi hafla hiyo ilifanyika leo (kulia) Waziri wa Ardhi,Maji,Nyumba na Nishati Mhe.salama Aboud Talib.[Picha na Ikulu] 24/10/2020.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...