RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiangalia picha ya Xray ya mmoja wa majeruhi wa tukio la kupigwa lililotokea katika maeneo ya Kwake Wilaya ya Micheweni Pemba Ndg.Abdalla Khamis Mbarouk, alipofika katika hospitali ya Micheweni leo 17/10/2020 na (kulia kwa Rais) Daktari Dhamana wa Hospitali ya Micheweni Pemba Dr.Mbwana Shoka Salim.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.
Ali Mohamed Shein, akipata maelezo ya mmoja wa Majeruhi wa Wahanga wa
Matukio ya kupigwa yaliotokea katika Kijiji cha Kwale Wilaya ya
Micheweni Pemba Ndg. Khatib Said Khatib aliyepata jeraha katika sehemu
ya tumbo, wakati akitowa maelezo Daktari Dhamana wa Hospitali ya
Micheweni Dr. Mbwana Shoka Salim.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.
Ali Mohamed Shein akimfariji mmoja wa wahanga wa matukio ya kupigwa
katika eneo la Kwale Wilaya ya Micheweni Pemba Ndg. Hassan Khamis Hamad,
alipofika katika Hospitali ya Micheweni Pemba kuwajulia hali zao leo
17-10-2020. Na kuwafariji. (Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.
Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Daktari Dhamana wa Hospitali ya
Micheweni Pemba Dr. Mbwana Shoka Salim, akitowa maelezo ya mmoja wa
majeruhi ya Wahanga wa Matukio ya kupingwa yaliotokea katika eneo la
Kwale Wilaya ya Micheweni Pemba,Ndg.Yassir Hemed Ali, alipofika katika
Hospitali ya Micheweni leo kuwatembelea na kuwafariji.
17/10/2020.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.
Ali Mohamed Shein akimfariji mhanga wa matukio ya kupigwa yaliotokea
katika eneo la Kwale Wilaya ya Micheweni Pemba Ndg. Hassan Khamis Hamad,
alipofika katika Hospitali ya Micheweni Pemba, kuwatembelea majeruhi leo
17/10/2020. Akipata maelezo kutoka kwa Daktari Dhamana wa Hospitali ya
Micheweni .Dr. Mbwana Shoka Salim.(Picha na Ikulu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...