Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kulia), akimsikiliza mmoja wa majeruhi wa vurugu za kisiasa zilizotokea Visiwani Pemba, Khatibu Said Khatibu ambapo alijeruhiwa maeneo ya tumboni na mgongoni kwa kuchomwa kisu na wanaodaiwa wafuasi wa Chama cha ACT Wazalendo, ambapo jumla ya majeruhi saba wanapatiwa huduma katika Hospitali ya Micheweni iliyopo Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kulia), akimsikiliza Mganga Mkuu wa Hospitali ya Micheweni, Dkt.Mbwana Shoka wakati akitoa taarifa ya maendeleo ya mmoja wa majeruhi wa vurugu za kisiasa zilizotokea Visiwani Pemba, Khatibu Said Khatibu ambapo alijeruhiwa maeneo ya tumboni na mgongoni kwa kuchomwa kisu na wanaodaiwa wafuasi wa Chama cha ACT Wazalendo,ambapo jumla ya majeruhi saba wanapatiwa huduma katika Hospitali ya Micheweni iliyopo Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (katikati), akimsikiliza Mganga Mkuu wa Hospitali ya Micheweni, Dkt. Mbwana Shoka wakati akitoa taarifa ya maendeleo ya mmoja wa majeruhi wa vurugu za kisiasa zilizotokea Visiwani Pemba,Khamis Hamad Haji na wanaodaiwa wafuasi wa Chama cha ACT Wazalendo, ambapo jumla ya majeruhi saba wanapatiwa huduma katika Hospitali ya Micheweni iliyopo Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akimsikiliza Mganga Mkuu wa Hospitali ya Micheweni, Dkt. Mbwana Shoka(kulia) wakati akitoa taarifa ya maendeleo ya mmoja wa majeruhi wa vurugu za kisiasa zilizotokea Visiwani Pemba, Raya Khamis Hamad(aliyekaa) na wanaodaiwa wafuasi wa Chama cha ACT Wazalendo, ambapo jumla ya majeruhi saba wanapatiwa huduma katika Hospitali ya Micheweni iliyopo Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...