
Viongozi mbali mbali wa Vikosi vya Ulinzi na wananchi wakiwa katika sherehe za Ufunguzi
wa Barabara ya Ole-Kengeja zilizofanyika leo katika uwanja wa Nyundo
Kengeja Wilaya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba Mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) .[Picha na Ikulu] 16/10/2020.
Mke
wa Rais wa Zanzibar Mama Mwnamwema Shein (kushoto) Waziri wa
Ujenzi,mawasiliano na Usafirishaji Dk.Sira Ubwa Mamboya(katikati) na
Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe.Hemed Suleiman wakiwa katika sherehe za Ufunguzi wa Barabara ya Ole-Kengeja zilizofanyika leo katika uwanja wa Nyundo Kengeja Wilaya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba.[Picha na Ikulu] 16/10/2020.



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...