Rais mstaafu ea awamu ya Nne, Mh Jakaya Mrisho Kikwete, akisaidiana na wazazi na watoto we nye Usonji kukata keki, wakati wa hafla ya kuchangia fedha kwa ajili ya watoto wenye usonji, iliyoandaliwa na Lukiza Autism Foundation jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi wa Taasisi hiyo Hilda Nkabe
Rais Mstaafu wa awamu ya Nne Mh Jakaya Mrisho Kikwete akikabidhi picha iliyonunuliwa Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi ya Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania PLC, Magreth Ikongo baada ya mwenyekiti huyo kutoa dau kubwa zaidi, wakati wa hafla ya kuchangia fedha kwa ajili ya watoto wenye usonji, iliyoandaliwa na Lukiza Autism Foundation jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi wa Taasisi hiyo Hilda Nkabe.
Rais Mstaafu wa awamu ya Nne Mh Jakaya Mrisho Kikwete akijadiliana na Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi ya Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania PLC, Magreth Ikongo na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni hiyo Hisham Hendi wakati wa hafla ya kuchangia fedha kwa ajili ya watoto wenye usonji, iliyoandaliwa na Lukiza Autism Foundation jijini Dar es Salaam. 
Rais Mstaafu wa awamu ya Nne Mh Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania PLC Hisham Hendi wakati wa hafla ya kuchangia fedha kwa ajili ya watoto wenye usonji, iliyoandaliwa na Lukiza Autism Foundation jijini Dar es Salaam. Wengine kwenye picha ni Mkurugenzi wa Lukiza Foundation pamoja na wafanyakazi wa kampuni ya Vodacom.

Rais Mstaafu wa awamu ya Nne Mh Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania PLC, Hisham Hendi wakati wa hafla ya kuchangia fedha kwa ajili ya watoto wenye usonji, iliyoandaliwa na Lukiza Autism Foundation jijini Dar es Salaam.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...