Mkurugenzi wa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere (JNIA), Paul Rwegasha (kushoto) na Mkurugenzi wa huduma kwa wateja Vodacom Tanzania PLC, Harriet Lwakatare wakikata utepe kuzindua duka jipya la kisasa lililopo kwenye uwanja mpya (Termial 3), ikiwa sehemu ya maadhimisho ya sherehe za miaka 20 ya Vodacom nchini.
Mkurugenzi wa huduma kwa wateja Vodacom Tanzania PLC, Harriet Lwakatare akimkabidhi zawadi mteja wa Vodacom aliyetumia mtandao huo kwa miaka 20, Mohamed Juma Kambi mkazi wa Singida.
Mkurugenzi wa huduma kwa wateja Vodacom Tanzania PLC, Harriet Lwakatare akimkabidhi zawadi mteja wa Vodacom aliyetumia mtandao huo kwa miaka 20, Eliezery mbalinga mkazi wa Vingunguti Jijini Dar es Salaam
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...