Mkuu wa Mauzo Vodacom Kanda ya Pwani na Dar es Salaam, Brigita Stephen akimkabidhi zawadi mteja wa Vodacom, Ashley Mwakilasi mkazi wa Kawe  kwa  kutumia mtandao huo kwa muda wa miaka 20 ikiwa sehemu ya  maadhimisho ya sherehe ya miaka 20 ya Vodacom nchini.



Mkuu wa Mauzo Vodacom Kanda ya Pwani na Dar es Salaam, Brigita Stephen akimkabidhi zawadi mteja wa Vodacom, Christina Swai mkazi wa Arusha  kwa  kutumia mtandao huo kwa muda wa miaka 20 ikiwa sehemu ya  maadhimisho ya sherehe ya miaka 20 ya Vodacom nchini.



Mkuu wa Mauzo Vodacom Kanda ya Pwani na Dar es Salaam, Brigita Stephen akikata utepe kuzindua duka jipya la kisasa la kampuni hiyo lililopo mtaa wa Msimbazi jijini Dar es Salaam ikiwa sehemu ya maadhimisho ya sherehe za miaka 20 ya Vodacom nchini. Kulia ni Meneja wa maduka ya rejareja Vodacom, Vanessa Mlawi.



Mkuu wa Mauzo Vodacom Kanda ya Pwani na Dar es Salaam, Brigita Stephen akizungumza na waandishi wa habari wakati wa  uzinduzi wa duka jipya la kisasa la kampuni hiyo lililopo mtaa wa Msimbazi jijini Dar es Salaam ikiwa sehemu ya maadhimisho ya sherehe za miaka 20 ya Vodacom nchini.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...