Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais Mstaafu wa Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiendesha kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar.(kushoto kwa Mstaafu)Rais Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi.[Picha na Ikulu] 26/11/2020. 

Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais Mstaafu wa Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiendesha kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar.(kushoto) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Saadala.[Picha na Ikulu] 26/11/2020.

Baadhi yaWajumbe wa Siku moja cha  Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar Kikao cha Siku moja cha  Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar  .wakimsikiliza  Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais Mstaafu wa Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiendesha kikao. [Picha na Ikulu] 26/11/2020.Wenyeviti wa Mikoa ya Chama cha Mapinduzi CCM Zanzibar wakiwa  katika  Kikao cha Siku moja cha  Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanziba chini ya Mwenyekiti wake  Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais Mstaafu wa Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein. [Picha na Ikulu] 26/11/2020.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...